COUNTRY BOY NINA KILA SABABU YA KWENDA KIMATAIFA

Capture

COUNTRY BOY NINA KILA SABABU YA KWENDA KIMATAIFA

Bahati mbaya ni wimbo wake alioachia mapema jana, lakini wimbo huo unapatikana katika mixtape yake ya Kama Ulaya vlm 1.

Country Boy hakusita kuweka wazi kile ambacho kila msanii anatamani kwenda kimataifa ambapo Country Boy alisema “Nina uwezo mkubwa sana katika ufanyaji nyimbo zangu, kipaji change ni cha hali ya juu. Kiukweli nina kila sababu ya kwenda kimataifa uwezo wa flow ni jambo ambalo mtu yoyote anaweza kuenjoy flow zangu hata kama haelewi lugha.

Huu ni wakati wangu sasa wa kwenda kimataifa, hivyo watu wangu wajue nimejipanga sasa.”Alisema

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez