COUNTRY BOY “NAE AJA NA MIXTAPE”

images
Wimbi la kutoa mixtape limekuwa likiendele kuwa kubwa kila iitwapo leo.Mwanzoni katika game ya music wa bongo haikuwa inafanya mixtape.Lakini sasa imekuwa kawaida wasanii wengi wa rap kufanya mixtape.
Nikki Mbishi,One Incredible,Wakazi,Godzilla,Boshoo,Haleluya,Nash Mc hawa ni baadhi ya wasanii ambao wamewahi kufanya mixtape na kuuza wenyewe kupitia mitandao pamoja na kuuza pia katika show zao wanazokuwa wanafanya maeneo tofauti tofauti.
Country Boy ni moja kati ya wasanii wa rap walioamua kufanya mixtape,Country alisema”kama mbele the mixtape vlm 1itakuwa inatoka.Mungu atupe uzima tufike,hakika hautojutia hizo kaziza humo ndani 10 songz (2bonus).Hakuna hata moja iliyowahi kutoka zote ni brand new na utazipata from siku hiyo muhimu sana kwangu 15 november.Get redy
Facebook.com/Tizniz
Instagram.com/tizneez
Twitter.com/tizneez.