COUNTRY BOY ATOA UTARATIBU MPYA WA UFANYAJI MUZIKI

index
Kama ulaya the mixtape album vlm 1 ni mixtape ya mkali Country boy iliyotoka mapema wiki hii ambayo ilizundiliwa kwa uzinduzi mkubwa pale club 71 Tegeta.
Katika mixtape hiyo ya Kama ulaya vlm 1 mkali Country Boy amewashikilisha wakali kama Godzilla,Debby,Kacci,pamoja kundi analolisamimia linaloitwa OMG Tanzania.
Akiongea na Team tizneez Country alisema “sasa nina utaraitibu ulio mpya na napenda mashabiki zangu wajue,hii ni mixtape yangu ya kwanza lakini kwasasa nitakuwa naachia mixtape kila baada ya miezi mitatu hii ni kuonyesha uwezo nilionao na mapenzi kwa mashabiki zangu.Na kama kuna mtu anahitaji mixtape anaweza akaipiga hii namba 0656650688.
Mwisho
instagram @tizneez
twitter @tizneez