Country Boy atoa ushauri ya Wakazi na Godzilla.

Country Boy atoa ushauri ya Wakazi na Godzilla.

Kwa kile ambacho kinaendelea kati ya Godzilla na Wakazi kujibizana katika mitandao ya kijamii hasa katika mtandao wa Twitter hatimaye Rapa Country Boy ametoa mitazamo ya ushauri juu ya wasanii hawa wawili wa hiphop.

msikiliza hapa chini.