COUNTRY BOY AMTAKA QUICK RACKA AWE MAKINI

index

COUNTRY BOY AMTAKA QUICK RACKA AWE MAKINI

Kama ulaya ni mixtape yake inayofanya vizuri katika mitaa sasa, Country boy ambaye alisema sasa ana utaratibu mpya wa kuachia mixtape kila baada ya miezi mitatu.

Mapema kulingana na kile kinachoendelea kati yake na Quick Racka na Country Boy katika kugombea kundi la Omg Tanzania , ambapo baada ya mizozo ya hapa na pale kila mmoja akidai ana haki na kundi hilo. Msanii Country Boy alipost katika mtandao wa picha Instagrama na kuandika”Ukijiona umekosea na bado unajibishana na Madogo na Ukadhani unaweza ukashinda kisa we labda umeanza au umezidi mtu umri basi,Usibugi Kwa Mana kila mtu ana mood yake Na nguvu zake na akili zake.! Utateleza.!
#RespectMyHustle Situkanagi matusi
Umenitukania Mama yangu Kisa @omgtanzania haki yao na ni wadogo zangu basi sikutukani blaza hila Naingia Booth ku spit Bars.! Ndo utaratibu wangu utanisamehe hapo
#GhostModeActivated
UMenipiga mkwara unitafute unipe kick ngumi sijui kisa ubaunsa ahya njoo ujipimie mwilin mwangu Hila Matokeo sometimes ubadilikaga kulingana na upepo.! Bwana haraka(Quick)
#AmReady!
#GOODmorning

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez