Counrty Boy Atoa neno kwa Young Dee

index

Counrty Boy Atoa neno kwa Young Dee

Mtu chee ni kundi llilokuwa linawaunganisha pamoja, ambapo alikuwa Stamina, Young Dee na Country Boy.

Licha ya mwaka huu mwanzoni ambapo Young Dee alikuwa nje ya kundi hilo ambapo pia hakuwa na sababu za msingi za kutokuwepo.

Mapema jana Young Dee alitawala katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, baada tu ya kueleza kuwa alikuwa akitumia madawa ya kulevya. Ambapo ameeleza ametumia madawa hayo kwa muda usiopungua mwaka mmoja na miezi sita.

Country Boy hakusita kuiambia Team tizneez juu ya rafiki yake huyu wa muda mrefu ambapo Country Boy amesema “Kwanza nampongeza kwa kuwa muwazi, kwangu namuona ni shujaa. Hakika amewahi kuamka kutoka alikokuwa maana ni wazi angeharibu maisha yake zaidi. Ila pia katika maisha yangu yote nay eye sijawahi kuona akitumia madawa ya kulevya nilikuwa nikisikia kama watu walivyokuwa wanasikia”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez