Comment 5 za Nikki Mbishi baada ya Baba levo kumuandikia Ruby ujumbe.

IMG-20160812-WA0026

Comment 5 za Nikki Mbishi baada ya Baba levo kumuandikia Ruby ujumbe.

Kupitia mtandao wa picha Instagram Baba levo aliweka picha ya Ruby ambapo katika picha hiyo ameandika “Hii kick anayotengeneza ruby ya kuwadiss CLOUDS ni yakujipakaa #MAVI Mziki unahitaji uvumilivu sana.. Angetulia akomae kwanza #D_ONE

Msanii wa hiphop Nikki Mbishi hakusita kuweka maoni yake ambapo ameandika “

Tazama chini hapa

nik 1

nik 11

nik 111

nik1111

nik 11111

Je wewe una maoni gani?

tuandikie chin hapan