CJAMOKER AELEZA SABABU ZA KUFANYA KAZI NA MABESTE MARA NYINGI

11849038_1621478394787943_859998935_n
Hold on ni moja kati ya ngoma zake kali ambazo zimezidi kumuweka pazuri katika ramani ya muziki wa bongo fleva.Cjamoker ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki licha ya kuwa rapper na muimbaji wa muziki wa bongo fleva.
Sijaona ni wimbo wake unatarajiwa kutoa hivi karibuni ambapo amemshirikisha msanii Mabeste,Aakiongea na Team tizneez kwa njia ya simu alisema”Naachia tena ngoma mpya kutoka kwangu,kama ilivyokawaida yangu nimeaandaa kila kitu mwenyewe kuanzia mdundo mpk kurecod,na hii ngoma nimefanya na Mabeste,licha ya watu wengi kusema kwanini nafanya ngoma mara nyingi na jamaa lakini ni kwamba Mabeste ni rapper mkali na sio vibaya kufanya kazi na mtu mara kadhaa kwaiyo uwezo wake ndo unafanya nitamani kufanya nae kazi kila iitwapo leo.Wimbo wangu wa sijaona ni wimbo wa mapenzi ambao unhusisha sifa za mwanamke ambaye kutokana na mazuri mengi aliyokuwa nayo nimezungumza nimekuwa na mademu lakini sijawahi ona kama yeye.”

Kaa karibu na tizneez.com uwe wa kwanza kupata ngoma hii
twitter @tizneez
instagram tizneez
facebook.com/tizniz