CHRISTIAN BELLA MUINGILIANO WA KAZI UMETUCHELEWESHA NA ALLY KIBA

Christian Bella na Alikiba

Amerudi ndio wimbo wake unaofanya vizuri kwasasa baada ya wimbo wake wa Nashindwa.Bella ambaye pia ni kiongozi na mmoja kati ya wanamuziki wanaunda band ya Malaika yenye maskani yake jijini Dar es salaam.

Ni muda mrefu umepita tangu Christian Bella apost picha katika mtandao wa instagram kuhusu kurecod  wimbo na msanii ally Kiba

Akizingumza na Team tizneez Bella alisema “Kwanza umeniona muda muafaka,maana tayari kila kitu kipo sawa audio na video ambayo amefanya Enosi Olik wa Kenya.Na kitu kilichofanya kazi hii ichelewe ni muingiliano wa kazi,mimi nimekuwa bize na hata Ally Kiba nae ila sasa ni muda mfupi ujao kazi itaonekana.

Wimbo unaitwa nagharamia ni wimbo mkubwa kiukweli watu wasubiri waone ukali wetu na mwenzangu Ally Kiba.Alisema Bella.

Unaweza kuwa rafiki yetu faceboo.com/tizniz

instagram.com/tizneez

twitter.com/tizneez