CHRISTIAN BELLA APIGA COLLABO NA KOFI OLOMIDE

IMG_3594
Star wa wimbo wa nani kama Christian Bella ambaye pia ni kiongozi wa Malaika Band yenye maskani yake Dar es salaam.
Bella ambaye kipenzi cha watanzania walio wengi kwasababu tu aina ya muziki pia jinsi anavyoweza kuchezea sauti yake na kuweza kuimba kwa hisia zaidi.
Kupitia mtandao wa Instagram Bella alipost picha akionyesha yupo na gwiji wa muziki wa bolingo anayetokea Jamhuri ya Kidemokrasi Congo Kofi olomide.Ambapo Bella aliandika “Nikiwa studio na big artist kazi nzuri inakuja.
Picha wakiwa studio hizi hapa chini
12193444_1655486444698942_6015838084402136083_n

Bella-akiwa-na-Koffi-Olomide