Christian Bella Aeleza sababu za wasanii wengi kushindwa kuimba “live”

IMG_0371

Christian Bella Aeleza sababu za wasanii wengi kushindwa kuimba “live”

Ni moja kati ya wasanii wanaofanya vyema sasa katika anga ya muziki wa kizazi kipya.

Christian Bella hakusita kuweka wazi juu ya kile ambacho kinawashinda wasanii wengi kuimba live katika majukwaa tofauti tofauti.

Bella Amesema “Kuimba live ni kipaji sio mazoezi ila inachangia mazoezi kidogo unaweza ukafanya mazoezi mengi na ukashindwa kuimba live”

Pia Bella hakusita kueleza mpango wake wa kutoa album ambapo amesema “Album nitatoa baada ya kukamilisha kufunga studio yangu.”

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez