Chin Bees Aeleza alivyokosewa na Navy Kenzo.

maxresdefault

Picha juu ni msanii Chin Bees

Chin Bees Aeleza alivyokosewa na Navy Kenzo.

Navy Kenzo ni moja ya makundi machache yanayofanya vyema katika muziki wa kizazi kipya hapa nchini na nje ya nchi pia.

Navy Kenzo ni kundi linaloundwa na Aika pamoja na Nahreel ambapo pia watu wenye mahusiano ya kimapenzi.

Chin Bees ni msanii aliyekuwa na ukaribu mkubwa na kundi hilo la Navy Kenzo. Mapema leo hakusita kueleza kila kilichofanya kupotea kwa ukaribu huo. Chin Bees amesema “Unajua nilikuwa nashiriki katika tungo nyingi pale. Wimbo kama Kamatia chini au Game nimeandika mimi, ila makubaliano yalikuwa ni kutajwa kama mwandishi. Ila haikuwa hivyo sikupewa sifa yoyote katika hilo na ukitazama nyimbo zimefanya vyema.

Kiukweli niliwahi kupostiwa instagram tu tena kwa kuambiwa asante lakini watu hawajui ni asante ya nini. Ila me ndo naanza muziki so nilitaka watu wajue kazi yangu ya uandishi wa nyimbo ili nitambulike vyema. Ila haikuwa hivyo kabisa.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Source Xxl clouds Fm