Chid Benz Ahairisha kutoa wimbo wake leo.

Chidcrop

Chid Benz Ahairisha kutoa wimbo wake leo.

Baada ya kutoka Sober house msanii Chid Benz ameweza kuzungumziwa zaidi katika mtandao wa picha “Instagram” ambapo ni wazi amekuwa akionekana ni mwenye afanya nzuri.

Kupitia mtandao wa picha ametoa taarifa hiyo ambapo ameandika “Good Morning all, ningependa kuchukua nafasi hii kuwataka radhi mashabiki zangu kwani siku ya Leo nilipaswa Ku-release my New song. ila kutokana na Management na watu wakaribu kunishauri kwamba Now days wimbo mzuri unanendana na Video nzuri.So msikate tamaa Bomb litalipuka anytime
#KINGKONGISBACK #newchidibeenz

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez