CHEMICAL NILIUSOMA MCHEZO NIKIWA NJE

Cover_myself

Sielewi ni wimbo wake uliomtambulisha kwenye game ya bongo fleva hapa nchini Tanzania.Chemical kwasasa amedhihirisha kipaji chake baada ya kuachia ngoma yake ya V.I.P ambao mpaka sasa tayari umeshaingia katika chati mbalimbali za Radio.

Chemical kwasasa ni rapper anaefanya vizuri zaidi katika upande wa wadada,Akiongea na tizneez Chemical hakusika kuweka wazi jambo pekee linayomfanya kufanya vizuri katika muziki wake.Ambapo alisema “kitu pekee kinachofanya nifanye vizuri kwenye mziki huu ni kitu kimoja tu,unajua niliousoma huu mchezo nikiwa nje,nilijua wenzangu wamekosae wapi,pia watu walitaka new style kwaiyo kwa kuyajua hayo ni dhahiri nina kila sababu ya kufanya vizuri.

Mengi mazuri yanakuja watu wakae mkao mzuri.

Unaweza kuwa rafiki yetu

facebook.com/tizniz

instagram.com/tizneez

twitter.com/tizneez