CHEMICAL AZUNGUMZIA KUPOTEA KWA ZAY B NA SISTER P

IMG_0038

Rapper wa kike ambaye sasa ndiye kinara kwa upande huo wa muziki wa hiphop, Chemical alitambulika katika ramani ya hiphop na wimbo wake wa sielewi aliyofanya na mkali Saprano.

Siku zinakwenda huku ikionekana ni wazi Chemical amekuwa mkali baada ya ngoma yake ya VIP, na hapa alifuta zile kauli zilizokuwa mtaani kwamba alibahatisha katika wimbo wake wa Sielewi.

Chemical ameweka wazi kupotea kwa Zay B na Sister P ambapo amesema “Binafsi nadhani game ilihitaji mabadiliko katika mambo mengi, ila siwezi kuongea zaidi kwa kupotea kwako maana mimi nilikuwa mdogo kwao, ila pia kingine unajua wale ni wanawake hivyo kuna majukumu mengine nje muziki.”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez