Chambuso atoa kauli juu ya taarifa ya Maromboso kusainiwa Wasafi

Chambuso atoa kauli juu ya taarifa ya Maromboso kusainiwa Wasafi

Chambuso ni moja kati ya mamaneja waliokuwa wanaunda pamoja kundi la Yamoto Band. Chambuso kwasasa ndiye ambaye anamsimamia msanii Aslay ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake wa Baby.

Mapema leo ameimbia Team tizneez kile ambacho anakiona juu ya msanii Maromboso ambaye pia ni moja ya wale vijana waliokuwa wanaunda kundi la Yamoto Band juu ya taarifa za kusainiwa Wasafi.

Chambuso amesema Sikiliza hapa chini.