Fahamu wimbo anaoukumbuka Nikk wa Pili wakati wote.

Capture

Fahamu wimbo anaoukumbuka Nikk wa Pili wakati wote.

Sweet Mangi ni wimbo wake unaofanya vyema sasa katika vituo vya radio na runinga hapa nchini Tanzania.

Kupitia kipindi cha Ladha 3600 cha Efm radio kinachongozwa na Jabir saleh katika kipengere cha Ushainyaka Nikk wa pili hakusita kushare na mashabiki wake wimbo ambao yeye anaukumbuka zaidi katika maisha yake pia ulimpa tabu katika kurekodi.

Nikki wa Pili amesema “Wimbo wa Niaje ni vipi wa Joh Makin ni wimbo ambao naukumbuka wakati wote, kwanza ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kurekodi. Watu walikuwa walkisema nimefanya poa ila kwa upande wangu nilikuwa naona naweza kufanya zaidi ya pale”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez