BONGO LAND YAFIKA TRACE

hash

BONGO LAND YAFIKA TRACE

Bongo land ni video ya mkali Hash aliyomshiriksha Kay wakati video hiyo ikifanywa na director bora kwa sasa GihCue, chini ya Lion Head Digital Vibes ndani ya Mji Kasoro Morogoro.

Baada ya kutoka katika wiki kadhaa nyuma, video ya Bongo Land hatimaye leo hii kituo kikubwa cha runinga Trace kimecheza wimbo huo ambao ni wa msanii chipukizi kutoka hapa hapa Tanzania.

Wakati umefika sasa wa wasanii wetu kutumia zaidi madirector wetu kufanya videos maana wengi husema huenda kushoot na madirector wa nje ili kupata nafasi katika vituo vikubwa, hivyo kama sasa tumeweza kupenya katika hivyo vituo vikubwa ni vyema kutumia watu wetu.

Team tizneez inakupongeza Gihcue kwa uwezo unaoendelea kuonyesha katika ufanyaji wa video.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez