Bob Junior Aeleza kifo cha Ude Ude na wimbo aliowahi kumuandikia Lady Jaydee

images

Bob Junior Aeleza kifo cha Ude Ude na wimbo aliowahi kumuandikia Lady Jaydee

Jana jioni kulikuwa na taarifa ambazo zilisambaa mtandao na kwenye magroup ya WatsApp juu ya kifo cha msanii na mtunzi wa muziki wa kizazi kipya.

Mapema leo Team tizneez akiongea na Bob Junior kwa njia ya simu amesema “Ni kweli Ude Ude amefariki na kifo chake kimetokea huko Jijini Tanga. Mpaka sasa sijui kiundani ila najua tu amefariki.

Nyimbo ambayo amewahi kuandika ni nyingi ila kwa haraka haraka ni wimbo wa Lady Jaydee unaitwa Wangu. Lakini pia nyimbo nyingi za Baby Jay amaeandika yeye. Pia kwenye studio yangu kuna nyimbo nyingi tu ambazo amesharekodi tayari.

Team tiznee inatoa pole kwa ndugu na jamaa waliogswa na msiba huu.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez