Bill Nas Aanza kuisifu video yake

mqdefault

Bill Nas Aanza kuisifu video yake

Msanii chipukizi Bill Nas ambaye anafanya vyema na wimbo wake wa Chaf Pozi ambao umeonekana kushika kasi katika vituo vingi vya radio hapa nchini.

Bill Nas hakusita kuweka wazi mtazamo wake juu ya video ya chafu pozi inayokuja hivi karibuni. Bill Nas alisema “Video yangu itakuwa safi na nimeenda kuifanyia South nikiwa na mtu mbaya Petie hivyo watu wategemee kitu kizuri zaidi.

Hata hivyo msanii huyu chipukizi ameenda kufanya video hiyo akiwa na muongozaji wa video kutoka Tanzania Msafiri Shabani maarufu kama Traveler.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez