Ben Paul Aeleza kufurahia watu wakirudia nyimbo zake

7596ben2Bpol2Bmoyo2Bmashine
Ben Paul Aeleza kufurahia watu wakirudia nyimbo zake
Moyo mashine ni wimbo wake ambao unafanya vyema sasa kwenye vituo vya radio na runinga ndani na nje ya nchi.
Kupitia mtandao wa Twitter kwenye ukurasa wake msanii Ben Paul ameandika “Watu wanaorudia nyimbo zangu (covers) wanasaidia sana kuzikuza nyimbo, ndio maana huwa nawaruhusu, alimradi hawaziuzi”.
www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez