BEN PAUL NAE AFUATA NYAYO ZA WASANII WENGINE

index

Ben Paul ni moja kati ya wasanii mahili wa muziki wa Rnb ndani ya bongo fleva.Wakati baadhi ya wadau wa muziki wa bongo fleva wakiendelea kukosoa swala la kwenda kufanya video hasa South Africa ikidaiwa kwamba ni kuzidi kuwatangazia vivutio vyao badala ya wasanii kutangaza zaidi nchi yao ya Tanzania.

Lakini kwa msanii Ben Paul imekuwa tofauti kwake baada ya kufuta nyayo za wasanii wengine ambao tayari walishawahi kufanya video zao katika nchi hiyo ya South Africa.Ben Paul aliweka picha za utengenezaji wa video yake hiyo katika mtandao wa Instagram licha ya kuto kusema ni wimbo gani anaufanyaia video.

picha ni hizi hapa chini

ben 5

ben 4

ben 3

ben 1

ben 2