BEN PAUL “MUACHE DHARAU”

Ben-Pol-akiimba-Samboira
Ben Paul ambaye hupenda kujiita king of Rnb,ambaye pia kwasasa yupo katika mash up ya coke studio na ameendelea kuonyesha uwezo wake wa kuimba live katika mash up hizo.
Kupitia ukurasa wake wa Fcebook Ben paul ameandika “Huyu ni @mayungaa Mshindi wa SHINDANO LA KUIMBA la Airtel Trace Star, na hapo yuko Studio za Universal huko HOLLYWOOD Marekani, hakuna Msanii duniani asiyetamani kufika Ma-Hollywood, na kilichomfikisha huko Mayunga ni Kushiriki kwenye shindano la Kuimba, Sasa leo hii msanii Chipukizi akikupigia simu kutaka Msaada ukimuambia “Jichanganye kaka, jitose hata kwenye mashindano ya kuimba” anakuambia “ooh Bro kama hutaki kunisaidia Basi Nikaushie” , muachage dharau sasa, Hiyo ni Hollywood Man, hakuna muimbaji wa Bongo ambaye amefika hapo, labda kwenda kupiga picha, Sio kurekodi kama alivyoenda Mayunga #ImOut!!!!!
Picha mayunga akiwa katika studio hizo
12027804_1152836301413979_6929427590968364420_n