Ben Paul Aweka wazi ushiriki wa Fid q kwenye video yake

Ben-Pol-akiimba-Samboira
Moyo mashine ni wimbo uliotoka mapema jana na hakika umekonga nyoyo za wapenda muziki wa kizazi kipya. Ben Paul ameendeleza ukubwa wake katika swala zima la kufanya mambo mazuri kila atoapo kazi mpya.
Mapema kupitia mtandao wa picha Instagrama hakusita kuweka wazi ushiriki wa msanii wa hiphop Fid q katika video yake ambapo ameandika “#xclusive! Naomba nikujulishe kwamba ile Story unayoiona kwenye Video yangu ya #MoyoMashine ni idea ya Fid Q ( @therealfidq ). Nilimtumia huu wimbo akanipa wazo la video kwamba iende vile kama unavyoiona. Dondosha Neno moja kwake Uncle Ngosha @therealfidq”
 


www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez