BEN PAUL AMTAJA MSANII WA HIPHOP ANAE MSHABIKIA

Ben-Pol-akiimba-Samboira
Msanii wa Rnb Ben Paul ambaye sasa anafanya vizuri na wimbo wake wa Ningefanyaje aliyofanya na mkali Avril pamoja Rossie M.lakini pia nyimbo kama Pete, Samboira, Nikikupata, na nyingine nyingi ni miongoni mwa nyimbo zilizompa umaarufu mkubwa katika ramani Bongo Fleva.
Kupitia mtandao wa Twitter kwenye ukurasa wetu wa Tizneez tumekuwa tukiendesha maswali ya online kwa wasanii wetu na hii hufanywa mara kwa mara, kuptia mtandao wa Twitter.
Na wiki tulifanya zoezi hili kwa msanii Ben Paul
Tazama picha chini hapa.
ben
www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez