Belle Ataja nyimbo 5 anazozipenda wakati wote.

Belle Ataja nyimbo 5 anazozipenda wakati wote.

Mkali wa Rnb kutoka Morogoro Belle 9 ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake wa Give it to me ambao amemshirikisha G nako,lakini pia Belle 9 amewahi kufanya vyema na wimbo kama, Sumu yap penzi,Masogange , Shauri zao, pamoja na nyingine nyingi.

Kupitia kipindi cha The Playlist kinachorushwa na Times Fm huku kikitangazwa na mtangazaji Omary Tambwe maarufu kama Lil Ommy, Belle hakusita kuweka wazi nyimbo zake 5 ambazo anazipenda.

Belle ametaja nyimbo hizo ambazo ni Tory lanes friends  with benefits, Hapo sawa ya Pro Jay, Moyo sukuma damu ya Ditto, Baba Nla ya Wizkid na wimbo wake mwenyewe ambao ni Gve it to me feat Gnako.

MWISHO

Attachment