BELLE 9 AANZA KUVUKA BODA

unnamed

 

Shauri zao ni wimbo wake msanii Belle 9 unafanya vizuri katika chati mbalimbali za tv na radio hapa nchini.Belle 9 ambaye kwasasa amehamishia makazi yake Jijini Dar es salaam.Na tayari ameanza kufanya kazi na kampuni yake binafsi ya Vitamin music ambayo ofisi zake zipo hapa Jijini Dar es salaam.

Ni takribani mwezi mmoja umepita tangu mkali Belle 9 kuachia video ya wimbo wake wa shauri zao,na hivi leo umeweza kuchezwa kwenye kituo kikubwa cha trace nigeria.Hii n i video ya kwanza ya  mkali huyu kuchezwa katika kituo hicho.Licha ya hivyo Belle  aliwahi kusema wakati anatoa hii hii video ya shauri zao “ni muda mrefu mashabiki zangu wananidai kitu kizuri huu ndo muda wao sitowaangusha tena.”

Capture

Unaweza kuwa rafiki yetu

facebook.com/tizniz

instagram.com/tizneez

twitter.com/tizneez