BARAKA DA PRINCE WANANICHAFUA NA KUTAKA KUSHUSHA HESHIMA YANGU

BARAKA DA PRINCE WANANICHAFUA NA KUTAKA KUSHUSHA HESHIMA YANGU
images

BARAKA DA PRINCE WANANICHAFUA NA KUTAKA KUSHUSHA HESHIMA YANGU

Siwezi ni wimbo wake unaofanya vyema katika media za ndnai na nje ya nchi pia, Baraka ni moja kati ya wasanii waliobuka kwa kasi miaka mwaka mmoja nyuma na hata kuchukua tuzo ya KTMA.

Mapema leo kupitia mtandao wa picha instagram ambao sasa umekuwa mahakama ya kuhuskumu kesi nyingi za watu maarufu. Baraka ameingia katika kundi la wasanii ambao waekuwa wakiamini zaidi mtandao huo kwa kueleza maono yao katika mambo mbalimbali yanakuwa yanwazonga.

Baraka ameandika Instagram na kusema “MY LIFE na UYU tu ndio namtambua, hao mnawatambua ninyi.HAYA NI MAISHA YANGU, Na yapo kwenye serekali yangu… Xo ustake niishi unavyotaka..mnajaribu sana kuchafua jina langu kwa mashabiki zangu…na pia mnajarbu kususha heshima yangu kwa wanaonieshim ila mmechelewa sana…nachoamini shabiki wa kweli awezi nichukia kwa upumbavu au uvumi wa kijinga..unaoendelea hii ya mtoto imegoma tengenezi nyingine tena..NA tambueni haya ni maisha yangu #SUPER na tumeshamju anaewatuma kunichafua ”

Post ya Baraka kutoka Instagram ipo hapa chini itazame

Capture