Banana Zorro Akemea wanaotafuta kiki

banana

Banana Zorro Akemia wanaotafuta kiki

Ni moja kati ya wakongwe ambao wameweza kuwepo kwenye muziki tangu kuibuka kwake mpaka sasa. Ambapo tuonana walio wengi wapo walioweza kuishia njiani.

Banana Zorro ameamua kuweza wazi kile ambacho anakiona kwenye muziki wa kizazi kipya, ambapo amesema “Ni jambo baya kutengeneza kiki au kufanya mambo yenye kuleta kiki, muziki uwe muziki na maisha binafsi yawe binafsi pia.Sasa hivi msanii anafikiria kufanya jambo ambalo litamfanya asikike zaidi kwenye muziki na sio kufanya muziki mzuri. Tukiendelea hivi tutakuwa tunaharibu future ya muziki wetu mzuri.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez