BANANA ZORO “NAAMINI KATIKA KIPAJI CHANGU”

mrk-ngt1
Ni moja kati ya wasanii wakongwe katika mziki wa bongo flava,ambaye tangu aanzishe The B band imeweza kudumu mpaka leo.
Banana Zoro alizungumzia swala la wasanii wengi kuonekana wanafanya kazi zao na wasanii wa nje ambapo kwasasa imeonekana ni kitu kikubwa.Banana alisema”Nina mipango ya kufanya hivyo lakini kwasasa naamini zaidi katika mkipaji changu.So hata nikifanya kazi nitafanya na mtu mkali zaidi.
Source Planet Bongo
twitter@tizneez
instagram2tizneez