BAGHDAD MUZIKI NA MAHUSIANO NI VITU VIWILI TOFAUTI

bag

Una akili wee ndi o wimbo wake unaofanya vizuri sasa katika vituo vya radio tofouti tofauti,Baghdad ambaye mapema mwaka jana alifunga ndoa na mkewe Jo Gift na kubahatika kupata mtoto pia.

Baghdad akiongea na Team tizneez baada tu ya wimbo mpya wa mke wake unaokwenda kwa jina la kadada kutoka rasmi juzi. Baghdad alisema”

“Wimbo huu umetoka bila video lakini kuna wimbo rasmi unakuja,Huo utakuwa na video na audio pamoja.Pia muziki na mahusiano ni vitu viwili tofauti,hivyo namuombea mke wangu awe kama mimi na mungu atusimamie.”

Baghdad alisema hayo wakati akielezea juu ya changamoto za yeye na mke wake kufanya mziki pamoja.

Instagram @tizneez

Twitter@tizneez

facebook@tizneez

www.tizneez.com