BADO YA HARMONIZE NA DIAMOND PLATNUMZ YAONGOZA CHAT ZA CMEA

maxresdefault

BADO YA HARMONIZE NA DIAMOND PLATNUMZ YAONGOZA CHAT ZA CMEA

Ni wiki kadhaa zimepita tangu kutoka kwa wimbo wa Bado wa Msanii chipukizi Harmonize akimshirikisha mkali Diamond Platumz. Ikumbukwe Aiyola ni wimbo uliomtambulisha Harmonize katika ramani ya Bongo Fleva hapa nchini.

CMEA maana yake kwa kirefu ni Copyrights Management East Africa, ambapo kazi yao kubwa ni kujua nyimbo ya msanii imechezwa muda gani na mara ngap, hivyo kupitia utaratibu huo wamekuwa wakipost nyimbo 20 yani top 20 zilizochezwa zaidi katika media house tofauti tofauti hapa nchini.

Mapema wameweka chati yao ambapo waliandika “Wasanii hawa ndio nyimbo zao zilichezwa sana katika Radio na TV mbalimbali Tanzania toka Tarehe 29 Feb 2016 hadi 06 Machi 2016.
#cmea #top20 #tanzania #music #artist

Katika chat hiyo ilionekana wimbo wa Bado wa msanii chipukizi Harmonize akiwa ameongoza katika chat hiyo.

Tazama chat hiyo chini

cmea

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez