Babu Tale Asema yake kuhusu Afande Sele

babu-tale

Babu Tale Asema yake kuhusu Afande Sele

Ni muda mchache umepita tangu Team Tizneez kulipoti malalamiko ya Afande Sele juu ya kutishiwa maisha na Babu Tale.

Team Tizneez ilitamfuta Babu Tale ambao akiongea kwa njia ya simu amesema “ Nimemwambia lini hayo mambo? Ila naomba umuombee mungu maana anazeeka vibaya, sina cha kusema mtu akizua mwache azue.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez