Baada ya kupewa gari Harmonize aeleza furaha

12338505_195003807512482_1037695115_n

Katika kile kinachoendela kushangaza wengi ni vile muziki wa bongo fleva/hphop unavyoendelea kuwapa mafanikio vijana walio wengi. Mapema leo imekuwa habari nzuri kwa Harmonize na wapenzi wake wa muziki, ambapo uongozi wake umeamua kumnunulia zawadi ya gari ya Toyota Mark x. Ambapo Harmonize hakusita kuweka wazi furaha ya ambapo alimau kuandika katika mtandao wa picha “Nichukue Fursa Fupi Kuushukuru Uongozi Wangu Mzima Wa @wcb_wasafi @mkubwafella @babutale @sallam_sk @ricardomomo @diamondplatnumz Kwakunijali Na Kunithamini Kijana Wao Wakanizawadia Gari Daaaaah Furaha Niliyo Nayo Haielezeki….. Kwakweli Ninafuraha Na Ninashukuru Sanaa Ninamengi Yakuongea Lakini Sizani Kama Nikianza Kuandika Nitamaliza Kubwa Ni Kwamba Namshukuru M/mungu Nashukuru Kwa Kurudia Tena Uongozi Wangu @wcb_wasafi Kwa Zawadi Lakini Nitakuwa Mchoyo Wa Fadhila Nisipo Washukuru Wazazi Wangu Walio Nizaa Na Kunilea Hadi Nikafikia Hapa Na Shukrani Za Dhati Ziwafikie Mashabiki Zangu Ambao Wapo Bega Kwa Bega Kunisupport Katika Kazi zangu Pia Mama Naseeb Umekuwa Ukinisistiza Na Kunisihi Jinsi Ya Kuishi Na Watu @kendrah_michael Nimalize Kwakusema Ninashukuru Sanaa Na Nina Amini Kuna Mengi Mazuri Zaidi Yapo Mbele Ila Asieshukuru Na Kidogo Kamwe Hatoshukuru Na Kikubwa Thanks #Allah Thanks #Wcb #Thanks #Mashabiki

Nichukue Fursa Fupi Kuushukuru Uongozi Wangu Mzima Wa @wcb_wasafi @mkubwafella @babutale @sallam_sk @ricardomomo @diamondplatnumz Kwakunijali Na Kunithamini Kijana Wao Wakanizawadia Gari Daaaaah Furaha Niliyo Nayo Haielezeki….. Kwakweli Ninafuraha Na Ninashukuru Sanaa Ninamengi Yakuongea Lakini Sizani Kama Nikianza Kuandika Nitamaliza Kubwa Ni Kwamba Namshukuru M/mungu Nashukuru Kwa Kurudia Tena Uongozi Wangu @wcb_wasafi Kwa Zawadi Lakini Nitakuwa Mchoyo Wa Fadhila Nisipo Washukuru Wazazi Wangu Walio Nizaa Na Kunilea Hadi Nikafikia Hapa Na Shukrani Za Dhati Ziwafikie Mashabiki Zangu Ambao Wapo Bega Kwa Bega Kunisupport Katika Kazi zangu Pia Mama Naseeb Umekuwa Ukinisistiza Na Kunisihi Jinsi Ya Kuishi Na Watu @kendrah_michael Nimalize Kwakusema Ninashukuru Sanaa Na Nina Amini Kuna Mengi Mazuri Zaidi Yapo Mbele Ila Asieshukuru Na Kidogo Kamwe Hatoshukuru Na Kikubwa Thanks #Allah Thanks #Wcb #Thanks #Mashabiki

A photo posted by Harmonize (@harmonize_tz) on


www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez
Instagram tizneez
Youtube tizneez