B DOZEN AELEZA ALIPOKOSEA RAY C

11356672_1621261091496716_781299050_n
Mtangazaji maarufu wa kituo cha radio Clouds fm ambaye anatangaza kipindi cha mchana maarufu kama XXL,Hamis Mandi a.k.a Bdozen ambaye ni miongoni mwa watangazaji machachari wanaofanya vizuri katika vipindi vya burudani.
Kupitia kipindi cha mkasi ambapo alikuwa akifanyiwa na mahojiano na Salama ambapo Bdozen aliulizwa kuhusu Ray kama anadhani Ray C alikosea wapi?.Bdozen alisema”Ray alikosea kuwa kwenye group ambayo hakutakiwa kuwepo,Na pia hata nikipewa nafasi ya kumshauri siwezi maana matukio yake tumeendelea kuyasikia kila siku.”Alisema
twitter@tizneez
instagram @tizneez