Ay Atoa ushauri kwa wasanii na watayarishaji wa muziki.

Ay Atoa ushauri kwa wasanii  na watayarishaji wa muziki.

More & More ni wimbo wake aliotoa mwishoni mwa wiki hii ambao amemshirkisha msanii Nyashinski kutoka Kenya

Ni ukweli usiopingika kuwa Ay ni moja kati ya wasanii waliofungua mipaka ya kushirikiana kikazi na wasanii wa nchi nyingine.

Kupitia mtandao wa picha msanii Ay ametoa ushauri wake juu ya wasanii na watayarishaji wa muziki wa kizazi kipya, ambapo ameandika “Ndugu zangu Wasanii wa Kibongo,Wadau na Washabiki wa Muziki,nimeona sio vibaya kushare na nyie jambo hili…Ili Producers wa Kibongo waweze kubadilisha Tunes kwa beats zao na waendelee kutisha KULIKO JANA nawaomba wasanii wenzangu muweke utaratibu wa kusafiri nao mnavyotoka nje ya Afrika Mashariki Wakienda, Wakiona, Wakijifunza Na Kujiongeza LAZIMA TUTATISHA SANA,Nimeona sana Afrika Magharibi wana hesabu hizo ndio maana wana Tunes za kila aina,Tuna Producers wazuri sana ila wanahitaji kusafiri zaidi,Mfano mzuri ni @majani187 @nahreel @hermyb na @marcochali wamepata exposure ndio maana wana Tunes Unique all the time #ZEE

Follow Twitter Tizneez

Facebook page Tizneez

Instagram Tizneez

Youtube Tizneez

Tuachie maoni yako hapa

Mwisho

Attachment