AY ACHUKIZWA NA MAPOKEZI YA MBWANA SAMATTA

a-y

Msanii nguli wa bongo fleva Ambwene Yesaya maarufu kama Ay, Ambaye ni miongoni mwa wasanii waliofungua mipaka ya muziki wa bongo fleva katika anga la kimataifa.

Kupitia mtandao wa Twitter Ay hakusita kuweka hisia zake kwa kile alichoona hakustahili kufanyiwa mchezaji mpira, Mbwana Samatta ambaye juzi usiku ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mpira wa miguu Afrika.

Kupitia mtandao wa Twitter Ay alitweet maneno mbalimbali ikiwa ni chukizo kwa mapokezi aliyopata Samatta nchi kwake Tanzania

1

2  4 63 Licha ya Ay pia wapo wengine walitoa mitazamo yao juu ya mapokezi ya Mbwana Samatta nao waliandika” 7

8