AY AANZA KUFANYA KAZI NA SALLAM SK

AY

AY AANZA KUFANYA KAZI NA SALLAM SK

Star wa zigo Ambwene Yessaya ambaye pia ni moja kati ya wasanii wakongwe wa muziki wa kizazi kipya, ambaye amewahi kufanya vyema na ngoma kama Raha Tu, Yule, Binadamu, Nipe Nikupe pamoja na nyingine nyingi.

Mapema kupitia mitandao ya kijamii hususani mtandao wa picha Instagram Sallam Sk aliandika “Good news is Ay he’s under my management. What a Bless to manage THE LEGEND. Don’t Listen to THEY BE INSPIRED”

Sallam Sk aliandika hayo wakati wakitoka katika show moja nchi Kenya. Hata hivyo msanii Ay hakusita kuweka bayana hilo ambapo nae lipost katika mtandao wa picha Instagram ambapo aliandika “Great Team.. My Manager Sallam_sk Mendez & My Supa Dupa Producer @hermyb

Sallam Sk ni moja kati ya wale ambao wameonekana kuwa katika menejimenti ya Diamond Platnumz, ila pia katika interview ya MKASI Ay aliwahi kusema “Najisimamia mwenyewe na kama anatokea meneja inabidi afanye kazi mara mbili yangu, hivyo ni wazi imeonyesha kuwa Sallam S kana uwezo mkubwa wa kufanya kazi na Ay.

Team tizneez inawatakia kila la kheri katika kazi zenu za kuendeleza muziki huu wa kizazi kipya.

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez

Post ya Ay kutoka instagram

ay

Post ya Sallam Sk kutoka Instagramsall