ALLY KIBA $SAUTI SOL HATIMAYE YAMETIMIA

images
Sauti Sol ni kundi lenye maskani yake Kenya pia ni kundi linalofanya vizuri katika ramani ya muziki wa Afrika Mashariki na hata nje ya mipaka ya bara hili la Afrika.Hata hivyo Ally kiba ni miongoni mwa wasanii wakubwa tulionao hapa Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania na Afrrika pia.
Baada ya muda mrefu kundi la Sauti Sol kusema wamatamani kufanya kazi na msanii Ally Kiba hatimaye yametimia.Ambapo sasa wameonekana wakipost picha katika mtandao wa picha Instagram wakionekana wapo studio.Hii ni ishara ya kazi imeshafanyika licha ya kuto kusema inaitwaje na itatoka lini.
Baadhi ya picha ikiwaonyesha wakali hao wakiwa studio.Picha hizo walipost wote katika kurasa zao za mtandao wa picha Instagram.
10899003_787482568040248_1632108113_n

12106099_833070816802221_1387013580_n

12142150_1495334807428324_1398203255_n