ALLY KIBA NA SAUTI SOUL WAANZA KUSHOOT VIDEO

untitled
Mkali King kiba ambaye hivi karibuni ameshirikishwa katika wimbo wa wakali kutoka Kenya Sauti Soul ambapo alipost picha zikimuonyesha yupo studio akifanya kazi pamoja na wakali hao.
Leo hii tena Ally kiba alipost video ikionyesha wakiwa katika jengo wakishoot video hiyo na wakali Sauti soul.
baadhi ya picha zilizotoka kwenye kipande cha video hiyo zitazame china hapa
k 1

k 2

k 3