ALLY KIBA ATUA LOS ANGELES KUFANYA VIDEO

images
Chekecha cheketua ni ngoma yake ya mwisho kutoa na kuonekana kuitendea haki hasa upande wa video.Ally Kiba hakuwa msanii wa kufanya video zaidi katika muziki,lakini sasa imekuwa tofauti katika muziki wake.
Ally kiba ameamua kupaa zaidi baada ya kutua Marekani katika Jiji la Los Angeles kwenda kufanya video yake ya wimbo wake mpya.Hata hivyo Ally Kiba amekuwa tofauti zaidi baada ya kumtumia choreographer Aliya Janel ambaye amewahi kutokea kwenye video za wakali kama Nick Minaj na Chris Brown.
Kupitia mtandao wa Instagrama Ally Kiba alipost”In L.A And We Are Getting Ready For My Upcoming New Video . In The Makeup Room With My Leading Lady @aliya_janell #kingkiba
Baadhi ya picha katika mchakato huo ni hizi hapa chini
11262715_974913289232700_897703213_n

11925915_709643532503173_288612782_n

12224510_1076638059047429_2140552011_n

12224581_1515849052072580_297854157_n
Team tizneez inamtakia kila la kheri