ALI KIBA ATAJA TAREHE RASMI YA LUPELA

pic+ali+kiba
King Kiba mwenyewe huapenda kujiita hivyo,ambaye jina lake kamili ni Ali Saleh Kiba.King hakusita kuweka wazi tarehe rasmi ya kutoka wimbo wake wa Lupela ambao ni muda mrefu umekuwa ukizungumzwa tu katika mitandao ya kijamii.
Kupitia mtandao wa kijamii Instagrama Ali kiba ameandika “Lupela wildaid project official release Feb 4 2016”
Video yake ya mazoezi kabla ya uchukuaji picha za video huko hollywood.

www.tizneez.com
Twitter tizneez
Facebook tizneez