Aje ya Ali Kiba yashika namba 1 katika nyimbo tatu anazozikubali Hamorapa

Aje ya Ali Kiba yashika namba 1 katika nyimbo tatu anazozikubali Hamorapa

Kiboko ya mabishoo ni wimbo wake unaofanya vyema kwenye ramani ya muziki wa kizazi kipya. Huku katika wimbo akimshirikisha mkongwe Juma Nature.

Hamorapa amekuwa akijijengea umaarufu kila kukicha,pia amekuwa akipata mahojiano mengi kila kukicha.

Harmorapa ameweka wazi nyimbo zaks anazozikubali ambapo amesema ” Nyimbo tatu ambazo nazikubali ni 1. Aje – ya Ali Kiba 2. Mwana ya Ali Kiba na pia 3. Bongo hip hop FidQ

Source Papo kwa Papo

#AskHarmoRapa