AIKA AFUNGUA BIASHARA NJE YA MUZIKI

index

AIKA AFUNGUA BIASHARA NJE YA MUZIKI

Moja ya mwanachama wa kundi la Navy Kenzo Aika ambaye kwa pamoja na Nahreel ndio wanaunda kundi la Navy Kenzo ambapo sasa limekuwa ni moja kati ya kundi bora Tanzania na hata nje ya nchi.

Mapema leo Aika aliiambia team tizneez kuhusu Aika Stores, kwa njia ya simu Aika alisema “ Aika stores ni duka langu mimi ambapo nina passion ya jewelry, nimekuwa na huu mpango kwa muda wa kama miaka miwili na ninmshukuru mungu nimekamilisha suala hili mwaka huu. Aika stores ipo based online tu kwa sasa na kwa distributors ambao soon nitawatangazia. Pia tuna mpango wa kuwa na distributors mikoa mingi hapa Tanzania na hata Kenya na Uganda maana tumepata demand nyingi sana, ila kwa sasa tunamtumia mtu alipo na option ya home deliver pia ipo.
Na pia Jewerly zetu huwa hatupendi kurudia stock kwahiyo tuna advise kina dada wakipenda kitu wachukue mda huo huo”

Picha chini Aika akiwa na mwenzake Nahree ambao kwa pamoja  wanaunda kundi la Navy Kenzo

safe_image

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez