AFANDE SELE “NA REKODI ZA PEKEE(MKUKI MOYONI)”

index
Seleman Msindi au Afande Sele ni msanii wa muziki wa hip hop na Bongo Flava kutoka Mkoani Morogoro, Tanzania.Pia ni mfalme pekee wa rymes ambapo alishinda mwaka 2003.
Team tizneez inakuletea baadhi ya mambo makubwa yaliyowahi kufanywa na wasanii wa zamani katika muziki wa bongo fleva/hiphop.Na hii yote ni katika kuweka heshima ambayo inaelekea kupotea maana kumekuwa na wimbi kubwa la watu wachache wanaotaka kufuta historia za watu.
Leo tumeanza na Afande sele,licha ya kuwa mfalme wa rymes hapa nchini Tanzania lakini pia ni msanii wa kwanza kuujaza uwanja wa mpira wa miguu wa JAMUHURI mjini morogoro alipozindua albam yake ya kwanza ya ‘MKUKI MOYONI’mwaka 2002.
hashtag twitter#respectthelegendtizneez
twitter @tizneez
instagram@tizneez