Afande Sele “Kwanini afungiwe Nay wa Mitego, ni siasa, mapenzi,undugu, au?”

555070_10151873754914345_1046577893_n

Afande Sele “Kwanini afungiwe Nay wa Mitego, ni siasa, mapenzi,undugu, au?”

Mfalme wa rhymes Simba zee maarufu kama Afande Sele ambaye jina lake kamili ni Selemani Msindi.

Kupitia mtandao wa Facebook hakusita kuandika hisia zake juu ya adhabu aliyopewa leo msanii Nay wa mitego kwa kufungiwa kutokushiriki kazi za sanaa kwa muda usiojulikana.

Kupitia ukurasa wake katika mtandao huo Afande Sele ameandika “Sio jambo lakuchukiza lakini linafadhaisha pale unapojiuliza kwanini aadhibiwe yeye tu? mbona kuna wenzake wengi tu walifanya na wanaendelea kufanya makosa kama yake au zaid lakini hawajachukuliwa hatua kama yeye? Ni Siasa, mapenzi, undugu au . Pole askari wangu mdogo mpiganaji stadi yatakwisha tu,tutawasimulia kina shishi baby,snusex nk kuwa “hainaga ushemeji”

 

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez