Afande Sele Apinga hoja ya muziki kubadilika.

Afande_lg_lrg

Hii ni interview ya Afande Sele ambaye ndiye mfalme wa rymes pekee hapa Tanzania. Team tizneez ilifunga safari mpaka kwake Morogoro na kupata wasaaa mzuri wa kuzungumza nae.

Katika mahojiano haya Afande Sele amezungumzia mambo kadhaa kama  Maisha baada ya kugombea ubunge, Ukimya wake kwenye muziki, Kushuka kwa muziki wa hiphop, Maisha baada ya kufiwa na mke wake, pia swala la mabadiliko ya muziki.

Msikilize hapa chini Akizungumza na Batro