ADILI CHAPAKAZI NA HISTORIA TOFAUTI YA MBWANA SAMATTA

adiliHISABATI

Mbwana Samatta ambaye ndiye mchezaji bora wa Afrika anayecheza ligi ya ndani,Mbwana ametwaa tuzo hiyo ndani ya siku kadhaa zilizopita akiwa anawakilisha club yake ya Tp Mazembe.

Mengi yamekuwa yakiendelea katika  mitandao ya kijamii kuhusu star huyo wa soka, Wapo wanailaumu TFF kwa kile kilichoonekana kutokujali na hii ni baada ya mchezaji huyo kutua saa 8 za usiku na kusababisha wengi kushindwa kumpokea shujaa Samatta.

Licha ya hivyo wengi wamekuwa wakizungumzia historia yake huku wachache kushindwa kuelewa nini ni nini.Kupitia ukurasa wake wa Facebook msanii wa music wa hiphop Adili ameandika”mb

Cc# www.tizneez.com

Instagram@tizneez

Twitter@tizneez

Facebook@tizneez