ADAM JUMA “GQ AMEFANYA KITU TOFAUTI”

Capture

ADAM JUMA “GQ AMEFANYA KITU TOFAUTI”

Adam Juma ni moja kati ya waongozaji wakubwa tokea hapa nchin Tanzania, ambaye imeonekana wazi yeye ndiye aliyekuja kubadilisha bongo fleva kuwa bora hususani katika upande wa video. Lakini mpaka leo hii ameendelea kufanya vyema ni wazi hakuelewa sifa mpaka sasa.

Gq ni director anaechipukia ambaye jina lake limekuwa sio geni tena katika kiwanda cha video hapa Bongo. Burger Movie selfie ni ni video iliyompatia umaarufu mkubwa ndani na nje ya nchi, kwa kuonyesha uwezo wake wa kuongoza video hiyo ya msanii Belle 9. Nje ya video hiyo ya Belle 9 Gq amewahi kufanya video kama No say ya Kacci feat Country Boy, Tunavuka mipaka ya Team racers, butterfly pamoja na nyingine nyingi.

Mapema leo ameachia kazi mpya aliyongoza inayokwenda kwa jina la Bongo Land ambayo ni kazi halali ya msanii mpya Hash ambapo amemshirkisha Kay,.

Adam Juma alishindwa kukaa kimya baada ya kuona video hiyo ambapo alisema “Song and video is dope hongera mwana, umefanya kitu tofauti na kilichozoeleka granding mpaka shots.”

Licha ya kufanya video paia Gq ni mtayarishaji mzuri wa audio muziki ambapo pia amewahi kufanya wimbo wa dini tumeletewa wa Afande Selle licha ya kufanya kazi nyingine nyingi

Gq!!Team tizneez inakupongeza kwa kazi nzuri

Kama bado hujaona video zake nenda kwenye tab ya music hapa www.tizneez.com search Hash feat Kay

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez