ADAM JUMA AIZUNGUMZIA LUPELA YA ALI KIBA

ADAM

Dierctor Adam Juma hakusita kuweka wazi hisia zake juu ya video ya lupela ya Ali Kiba, kwa kile kinachoendelea sasa kwa msanii huyo katika page yake ya instagram ambao watu wachache wemeonekana kukosoa video hiyo.Adam Juma ameandika “

“Lupela @officialalikiba , this is art, watanzania hatujui kuidadavua art. Hatujui thamani ya kitu, tunachukulia kiurahisi urahisi tu, kila mtu anajifanya anajua kitu ambacho sio sawa. Hii sio video tu, tulia basi angalia kwa umakini utapata ujumbe usipoelewa inawekana tatizo lipo kwenye level yako ya kuchanganua ujumbe ktk picha, btw sio fan wa alikiba ni mwana tu. Ningependa kusema video ni A one, haifanani na kitu ambacho tumezoe!!! Go kiba”

www.tizneez.com

Twitter tizneez

Facebook tizneez

Instagram tizneez

Youtube tizneez